SIMBA imefanya umafia baada ya kumsajili kiungo wa Singida Black Stars, Kevin Nashon kwa mkataba wa miaka miwili zikiwa ni ...
TULIKUWA tunasubiri mwezi uandame huku hali ikiwa shwari kabisa. Ghafla wahuni fulani wakakutana ndani ya ofisi fulani pale Morocco na kuamua kuchafua hali ya hewa. Waliamua tu kuliabisha Bara ...
Nuksi ya sare imeendelea kuiandama Yanga baada ya jana kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Mtibwa Sugar katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
Sakata la kutatanisha kuhusu ubingwa wa AFCON 2025 limechukua sura mpya baada ya nyota wa soka duniani Cristiano Ronaldo kuibuka hadharani na kulaani vikali uamuzi wa CAF kuivua Senegal ...
Shirikisho la Soka la Guinea limeibua upya mjadala mzito barani Afrika baada ya kuiandikia Shirikisho la Soka Afrika (CAF) likiitaka ipitie upya matokeo ya Kombe la Mataifa ya Afrika ...
Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola ameibua mjadala mpya kimataifa baada ya kuhoji uamuzi wa Shirikisho la Mpira wa (CAF) kubadili matokeo ya fainali ya AFCON 2025 na kuipa Morocco ...
BAADA ya Manchester United kukipiga jana, Ijumaa dhidi ya Bournemouth, Ligi Kuu ya England, inatarajiwa kuendelea tena leo, Jumamosi kwa mechi nne kupigwa huku vigogo wa ligi za Italia, ...
BAADHI ya timu za Ligi Kuu Bara zimekuwa zikipitia kipindi cha kucheza kwa presha ya kujilinda na janga la kushuka daraja katika misimu minne, huu wa 2025-2026 ukiwa wa tano, bila kusahau ...
Mshambuliaji nyota wa Iran, Sardar Azmoun, amefukuzwa katika kikosi timu ya taifa ya nchi hiyo baada ya kukiuka kile kilichoonekana kuwa kitendo cha kutokuwa mwaminifu kwa serikali.
MANCHESTER United inadaiwa kwamba ipo katika mazungumzo ya mwisho ya kumsajili nahodha wa Newcastle United na timu ya taifa ya Brazil, Bruno Guimaraes, 28, kwa ada inayokadiriwa kufikia Pauni 69.
MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali inafikia tamati yake leo na kesho kwa kupigwa michezo yenye hadhi kubwa kwenye soka la Afrika.
YANGA inarudi uwanjani leo ikiendelea na ziara ya mechi za ugenini itakapokutana na Mtibwa Sugar na timu zote mbili zitakuwa na akili moja tu ya kushinda ili kujiweka kwenye nafasi nzuri.